Lady Jay Dee ameandika haya kupitia Twitter kuhusu Game ya mziki Tanzania:
Sasa baada ya kuandika hayo , Wakazi Kafunguka Haya Kupitia Instagram:
"Kwa sababu bongo huwa tuna tabia ya kuchagua Mjumbe, ndio tuamini Ujumbe hata kama unafanana na wa msiyemkubali.
HAYA SASA MANENO YA DADA MKUU HAYO... Pengine ndio mtaelewa.
Industry inaumwa na inahitaji kutibiwa. Ila wapo wanaojifanya kuitibu au kudai iko sawa, wao hawajioni kuwa ni sehemu ya matatizo ila ni wa kwanza kunyooshea vidole wengine. Wanafiki wakubwa... NARUDI TENA, Kama tunadhani muda wa kuiponya Tasnia umefika, basi tukae mezani na tuongee ukweli. Otherwise don't speak at all." Wakazi
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments