RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Vikundi vya Wajasiriamali mbalimbali kutoka Mkoa wa Kaskazini Pembe wakati wa mkutano wake na Wajasiriamali hao kutowa shukrani zake kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa
Zanzibar katika uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwezi Oktoba 2020, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba leo 18-12-2020.(Picha na Ikulu) WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Katiba,Sheria Utwala Bora na Utumishi wa Umma Mhe. Haroun Ali Suleiman akizungumza na Vikundi vya Wajasiriamali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakati wa Mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi.(hayupom pichani) uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.(Picha na Ikulu)
VIKUNDI vya Wajasiriambali kutoka sehemu mbalimbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia wakati wa mkutano wake wa kutowa shukrani kwa Vikundi hivyo kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba leo 18-12-2020.(Picha na Ikulu) BAADHI ya Vikundi vya Wajasiliamali kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika viwanja vya ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba wakifuatilia mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati kizungumza na Wajasiriamali wa Vikundi mbalimbali katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.(Picha na Ikulu) NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Sadala (Mabodi) akizungumza wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Vikundi vya Wajasiriamali mbalimbali vya Mkoa
wa Kaskazini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba leo 18-12-2020.(Picha na Ikulu) MKUU wa Mkoa wa Kaslazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk Khatib akizungumza wakati wa Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) na Vikundi mbalimbali vya Wajasiriamali vya Mkoa wa Kaskazini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.(Picha na Ikulu)
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments