Shule zafungwa Nigeria kufuatisha mashambulizi ya Boko Haram | ZamotoHabari.




Majimbo manne kaskazini mwa Nigeria yamefunga shule zote kufuatia tukio la kutekwa nyara kwa mamia ya wanafunzi katika jimbo la Katsina.


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini