Ushauri: Nina Naumbile Madogo (Kibamia), Naogopa Kuwa na Msichana | ZamotoHabari.

Amakweli mungu hakunyimi vyoote na haupi vyoote pia. Mimi ni kijana wa miaka 21, mwembamba kiasi nina body naturaly,maji ya kunde, mrefu wastani sio handsam sana but mtanashati najiheshimu, mstaarabu kutokana na sifa nilizo kuwa nazo imepelejea kupendwa sana na wanawake.

Wengine hupigana na kupelekana hadi polisi kwajili yangu pasipo mimi kuwa na mahusiano nao yani ni wivu tu na nimetongozwa na wanawake tangu nikiwa na miaka 15 na wengine ni wakubwa kwangu na wengine wanakuja hadi mbele ya mama na kueleza hisia zao kwangu ila mimi sina mpango nao kabisa yani.

Hii inapelekea hadi mama yangu kupoteza imani na mimi kwa kuhisi huenda mwanae ni shoga ama sifanyi kazi kama dume.Ila mimi sio kama siwatamani au siwataki ila nina tatizo moja linalonifanya mpaka nishindwe kujielewa wakati mwingine najipiga ukutani kwa hasira, but nashindwa nifanye nini.

Ninawaza sijui nimwambie mama yangu au baba yangu ila nawaza nitaanza je kuwaambia tatizo langu ikiwa baba ni mkali sana na mda mwingine hataki hata salamu na katika familia walio nitangulia kuzaliwa ni wanawake wote daaaah.! inaumasana ninapo muona mamayangu akitoa chozi pindi akiwa na waschana Wanaokuja mbele yake kwaajili yangu.

Pia hii imenifanya nishindwe hata kutembea mtaani kwa kuhisiwa mimi ni shoga ila tatizo langu sio kabisa yani daah..! Nawaza nitafanya vipi mapenzi na msichana ikiwa mimi nina Maumbile Madogo saana nilipo upima kwa rula ni wa nchi 4 so hivi msichana yeyote anaweza kuhisi kitu kweli daaah..

Why mimi waungwana naombeni msaada ni nini nifanye nimwambie mama akamueleze baba labda atanisaidia kupata dawa au kama kuna dawa ni wapi napata na ni ipi coz naona ninakoelekea sio kabisa.

Naombeni msaada naombeni

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini