Wanamuziki wa Nigeria Davido, Burna Boy na Wizkid Wacharuka Wawataka Polisi Uganda Kuwaachia Omah Lay na Tems | ZamotoHabari.


Wanamuziki wa Nigeria Davido, Burna Boy na Wizkid wameendelea kuwa vipaza sauti kwa matatizo yanayowakumba watu wa taifa lao.

Leo wamecharuka kupitia twitter, wakipaza sauti kuitaka mamlaka ya polisi nchini Uganda kuwaachia Wanamuziki Omah Lay na Tems ambao wanashikiliwa kwa kosa la kukiuka kanuni za COVID-19 nchini Uganda, mara baada ya kukamatwa siku ya Jumamosi punde tu baada ya kumaliza onesho lao la muziki.




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini