Rais Magufuli "Waziri Mpango Amelazwa Dodoma Hata Leo Asubuhi Ameniandikia Message, Amewaombea Msamaha Waliozusha Kifo Chake" | ZamotoHabari.

 


Rais Dkt. @MagufuliJP amesema kuwa Waziri wa Fedha, Dkt. Philip Mpango anapatiwa matibabu jijini Dodoma na kwamba afya yake inaendelea kuimarika.

"Anafanya Mazoezi ya kifua amenitumia ujumbe huu"

Katika ujumbe wake kwa Rais Dkt. Magufuli, Dkt. Mpango amesema amewaombea msamaha wale wote waliozusha kuwa amefariki dunia.




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini