Ni Headlines za Mwigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Irene Uwoya ambae time hii ameonekana kuongea kwa ukali baada ya jina lake kutumiwa vibaya na watu kwanjia ya kutapeli mashabiki zake.
‘Naomba niongee haraka haraka sana kuna watu wanakera tena wananikera sana tena wanahisi mimi ni mpole naomba wajue mimi ni mkorofi sana, nimechoka na tabia za watu kufanya utapeli kwa kutumia jina lako huko Facebook sijapenda nimechoka’– Irene Uwoya
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments