JKCI YANUNUA MASHINE MBADALA YA MAPAFU NA MOYO | ZamotoHabari.

 TAASISI Ya moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI,) imenunua mashine mbadala ya mapafu na moyo (Heart Lung machine,) Itakayotumika wakati wa upasuaji mkubwa wa kusimamisha moyo yenye thamani ya shilingi 383, 596,000.






APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini