Menina apata mtoto wa kike | ZamotoHabari.





Muigizaji Menina Abdulkarim amethibitisha kuwa amejifungua mtoto wa kike mwishoni mwa wiki iliopita.
Menina ambaye pia ni Mc wa shughuli mbalimbali, ameeleza habari hiyo njema kipitia ukurasa wake wa Instagram.

"I gave birth to my best friend and it was the best feeling to receive my beautiful baby girl Mashallah Allahuaqbar🙏🏻 HasbiAllah Mashallah TabarakAllah 🌹" - ameandika @meninalegria.

Huyu anakuwa mtoto wa pili kwa Menina baada ya mtoto wa kwanza wakiume.


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini