Rais Samia Mgeni Rasmi Mei Mosi leo jijini Mwanza | ZamotoHabari.


Kutoka katika Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza ambapo yanafanyika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Kitaifa na Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Tayari viongozi mbambali wa Serikali wameanza kuwasili tayari kwa ajili ya shughuli hiyo.


 




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini