RAIS WA ZANZIBAR DKT HUSSEIN ALI MWINYI AMUWAKILISHA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MKUTANO WA DHARURA WA NCHI NA SERIKALI ZA SADC NCHINI MSUMBIJI | ZamotoHabari.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akipokelewa na mwenyeji wake Waziri wa Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto wa Msumbiji Mhe. Nyeleti Brooke Mondlane katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Mavalane  jijini Maputo Msumbiji.Rais Mwinyi atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali ( SADC Extraordinary Double Troika Summit) unatarajiwa kuanza leo tarehe 27. Mei 2021.  Picha na IKULU


 


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini