Uhamiaji yawachukulia hatua askari wake walikosea | ZamotoHabari.


Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala, amesema Idara ya Uhamiaji Tanzania, imewasimamisha kazi askari wake watatu kwa kukiuka maadili ya kazi zao.

Makalala ameeleza kuwa askari hao walioonekana kwenye video fupi wakitumia nguvu dhidi ya mtuhumiwa wa utapeli Alex Raphael Kyai kitendo ambacho ni kinyume cha sheria na maadili ya kazi yao.

Soma taarifa kamili hapo chini





APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini