Breaking News: TB Joshua Afariki Dunia | ZamotoHabari.



Mhubiri wa Kimataifa kutoka Nchini #Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57

Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma katika Kanisa lake Jijini Lagos

Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN) na Kituo cha Televisheni cha Emmanuel



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini