ILI KUMUWEZESHA MSANII WETU DIAMOND ASHINDE TUZO FANYA HIVI | ZamotoHabari

 

"Ili Kumuwezesha DIAMOND PLATNUMZ Kushinda Tuzo Za @betawards Kwenye Kipengele Cha BEST INTERNATIONAL ACT unatakiwa kwenye kila post yako unayompost DIAMOND PLATNUMZ Kwenye Social media zako (Instagram, Twitter, Facebook n.k) Iwe Picha Au Video Yeyote Ya DIAMOND PLATNUMZ unatakiwa uambatanishe na maneno (Caption) Hiyo Apo 👇

"I Vote For Diamond Platnumz #BETAwards #BETAwards2021 #diamondplatnumz @diamondplatnumz #BestInternationalActAct @BET_Africa @BETAwards @BET"

Pia unaweza Kwenda Ku comment kwenye page za Tuzo Husika Maneno Hayo Hayo bila kukosea

KWA PAMOJA TUNAWEZA
#WCB4LIFE #Swahilination"


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini