Ujenzi wa barabara ya Kilwa wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaa unaendelea kwa kasi kama inavyoonekana pichani mafundi wakiendelea na kazi ya kuhakikisha barabara inakamilika kwawakati ili kuwapunguzia foleni wananchi wanaoishi Mbagala na maeno mengine ya jiji.
Ujenzi wa barabara ya Kilwa wilya ya Temeke jijini Dar es Salaam ukiendelea kwa kasi kama inavyoonekana pichani.(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA





0 Comments