Madame Rita Afunguka Kumpata Mtoto Wake wa Kwanza Akiwa na Miaka 14 tu | ZamotoHabari.



Madame Rita alimpata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 14 tu. Ilimlazimu kusubiri binti yake awe mkubwa ndipo arejee shuleni.

Ushauri wake kwa mabinti ni kwamba sio jambo linalopaswa kuwatokea, lakini kwa wale lililowatokea wasione ni mwisho wa maisha, bado wana nafasi ya kupigania ndoto zao.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini