Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Albert Chalamila Atenguliwa | ZamotoHabari.



Rais Samia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila leo Juni 11, 2021
_
Nafasi yake inajazwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini