“Nimepitia Wakati Mgumu Sana Baada ya Kuondoka Kings Music” – Killy | ZamotoHabari.

 


Msanii kutoka lebo ya Konde Music Worldwide Killy, amekiri kupitia wakati mgumu sana baada ya kufanya maamuzi magumu ya kuikacha lebo yake ya zamani Kings Music kwani alihitaji kutumia muda mrefu zaidi ku-adopt mazingira ya lebo na aina ya mtindo wa maisha mapya.

 

'The vocalist master' Killy tayari ameachia kazi yake mpya inatwa Roho.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini