Shirikisho la Soka Ulaya #UEFA leo Juni 24, 2021 limetangaza kuifuta sheria ya goli la ugenini | ZamotoHabari.


Shirikisho la Soka Ulaya #UEFA leo Juni 24, 2021 limetangaza kuifuta sheria ya goli la ugenini kutumika kwenye mashindano ya vilabu kuanzia msimu wa 2021/22

Kama ikitokea timu ziko sare kwa matokeo basi zitacheza dakika 30 zaidi na zikiwa hazijafungana zitaingia kupiga mikwaju ya penati




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini