TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TET) YASHIRIKI KONGAMANO LA MIAKA 50 LA ELIMU YA WATU WAZIMA MKOANI DAR ES SALAAM. | ZamotoHabari.

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Kassim Majaliwa akipata maelezo  kutoka kwa Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Bi. Dorothy Natale,kuhusu upatikanaji wa vitabu vya kiada Shuleni katika kongamano la miaka 50 la Elimu ya watu wazima  linalofanyika katika viwanja  vya maktaba kuu ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam kuanzia leo Juni 9-11,2012.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mh.Kassimu Majaliwa leo ametembelea  banda la Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) katika kongamano la miaka 50 ya Elimu ya watu wazima na kujionea vitabu mbalimbali vya Elimu,(kulia) ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mh.Joyce Ndalichako.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini