TANZIA: MAMA MZAZI WA DC KILWA AFARIKI DUNIA | ZamotoHabari.


 TANZIA

MKUU wa Wilaya ya  Kilwa  Christopher Amiri  Ngubiagai amefiwa na mama yake mzazi Bi. Rose Ngubiagai jana asubuhi katika Hospital ya Taifa Muhimbili na maziko yatafanyika kesho  Jumamosi Kivule, Dar es salaam. 

Namna ya kufika Nyumbani kwa Christopher Ngubiagai kulipo na Msiba wa Mama yake, Fika Stand ya Banana kata kushoto kueleka Kivule, kuna kituo cha basi kinaitwa Matembele ya Pili, hapo kuna Bango la Kanisa la Nabii Suguye. Utakuta kibao kinakuelekeza kufika kwenye msiba, Au uliza kupitia no.0686892826.

Sisi sote ni wa Mungu na kwake tutarejea. Mwenyezi  Mungu ampumzishe kwa amani Mama yetu mpenzi AMINA!




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini