Umber Lulu "Nilimpoteza Mama Nikiwa na Miaka 17, Baba Ameanza Kunitafuta Baada ya Mimi Kuwa Msanii" | ZamotoHabari.


Nilimpoteza Mama yangu nikiwa na Umri wa Miaka 17 

''Baada ya Mama kufariki nilihangaika kumtafuta Baba ili angalau akaone kaburi la Mama lakini hajawahi kwenda na hajui alipozikwa Mama, hanijali anapiga simu kuomba pesa tu na Alinitafuta baada ya mimi kuwa msanii'' @iamamberlulu



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini