Mwenge wa uhuru kwa sasa mbio zake zimefika katika mkoa wa Kilimanjaro ambapo unapita katika wilaya Sita kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo.
Kubwa zaidi na la kufurahisha mbali na kupokea taarifa za miradi mbalimbali ya Mwenge pia wakimbiza mwenge wamekuwa wakifanya ukaguzi kila eneo la mradi kama wanavyoonekana wakikagua moja ya matenki ya maji ya ya Mradi wa maji wa Kasapo na Makanya unaohusu ukarabati pamoja na upanuzi wa Miundombinu.
Mradi huu unatekelezwa mwa fedha za mfuko wa maji wa Taifa (NWF) kwa gharama ya kiasi cha Mil 747.9
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA







0 Comments