Chadema: Mbowe na Wenzake Wamekamatwa na Polisi | ZamotoHabari.



CHADEMA imedai saa nane Usiku wa kuamkia leo, Polisi waliwasili Hotelini ambapo Freeman Mbowe na Viongozi wengine wa CHADEMA walifikia

Viongozi hao wapo Mwanza ili kuongoza Kongamano la Katiba Mpya


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini