Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Godfrey Chongolo pamoja na Sekretarieti yake Mkoani Mbeya tayari kwa kuanza ziara katika Mikoa ya Rukwa, Songwe na Mbeya.
Mapokezi hayo yamefanyika katika Uwanja wa ndege wa Songwe asubuhi ya leo Julai 7,2021, na kuanza safari kuelekea Mkoani Rukwa.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA






0 Comments