Klabu ya Liverpool Wagoma Kumtoa Mchezaji Mo Salah Kuichezea Timu yake ya Taifa Misri Michuano ya Olympic | ZamotoHabari.

 


Klabu ya Liverpool imelipa taarifa Shirikisho la Soka nchini Misri kwamba hawatamruhusu Mshambuliaji Mohamed Salah ajiunge na timu ya taifa kwa ajili ya michuano ya Olympic 2020 ambayo itaanza Julai 23 mjini Tokyo Japan.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini