Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye pamoja na Mkewe baada ya kuhudhuria Dhifa ya Jioni iliyoandaliwa na Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi Ikulu Bujumbura Burundi leo Julai 16,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipiga ngoma aliyokabidhiwa na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye kama zawadi Ikulu Bujumbura Burundi leo Julai 16,2021.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA













0 Comments