Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair wakati Mhe. Blair alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Julai 22,2021. (Picha na Ikulu)
Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair wakati Mhe. Blair , akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Julai 22,2021.
(Picha na Ikulu)
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments