MAMBO yamekwiva… hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa Bongo Fleva, Rayvanny na mpenzi wake ambaye ni mtoto wa staa wa Bongo Movie, Kajala Masanja aitwaye Paula wameonekana kwenye mahaba na bashasha la aina yake wakati wa hafla ya kusherehekea kumbukumbuku ya siku ya kuzaliwa kwa Paula.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA




0 Comments