Rayvanny "Tupo Sawa na Hamissa Mobeto Hatuna Ugomvi" | ZamotoHabari.

 


Mwanamziki Mahili Hapa Tanzania (rayvanny ) Amefunguka kuwa WCB na Hamisa Mobeto Wapo Sawa Tofauti na Watu Wanavyo Zungumza Uko Nje.


"Sisi Kama WCB Hatuna Tofauti Yoyote na (mobettohtothetop ) Tunamchukuli kama Shemeji Yetu Tuna wasiliana Nae Kama kawaidi Hatuna Ugomvi Kama Mnavyozungumza Huko Nje"-Ameongea (rayvanny )



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini