Baada ya kununua #RollsRoyceCullinan2021 Moja kati ya Gari za Ndoto yake ya muda wote Star wa muziki Barani Afrika @diamondplatnumz ametangaza kuwa anasubiri kupokea gari zingine mbili alizoagiza
#DiamondPlatnumz kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza kuwa gari zinazofuata alizozinunua ni @lamborghini pamoja na @bentleymotors na hivyo kwa sasa anasubiri kuzipokea nchini
"Babies Day out... i can’t wait for my Bentley and Lambo to arrive in my Country 🇹🇿🙏🏼.... Song 🎵#IYO by @diamondplatnumz ft @focalistic @ntosh_gazi_ @mapara_a_jazz Available on all Platforms now! #SwahiliNation #Wasafi #IYOchallenge" ✍....@diamondplatnumz
#Lamborghini na #Bentley ni moja kati ya magari yenye thamani zaidi duniani ambayo hutumiwa na watu maarufu na mabilionea
Nafasi za Ajira Serikalini Bonyeza HAPA
Nafasi za Scholarships Bonyeza HAPA
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA




0 Comments