Vanessa MDEE Ajifungua Mtoto..Mwenyewe Afunguka Haya.... | ZamotoHabari.



Baada ya taarifa kusambaa kuwa msanii wa Bongo Fleva @vanessamdee amepata mtoto kutokana na kuwa na ujauzito Kupitia ukurasa wake wa Instagram @vanessamdee amekanusha na kusema muache kupanikisha watu kuwa amejifungua na kuwauliza kuwa aliyewaambia kuwa yeye amejifungua ni nani..?



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini