Wananchi watembelea banda la maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Maonesho ya Sabasaba | ZamotoHabari.

Mkemia wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) Anania Kapalata  akimpa maelezo  Mteja aliyetembelea banda la GCLA katika maonesho ya 45 ya Biashara Kimataifa yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mteknolojia Mkuu wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) Sabas Mandali   akimhudumia Mteja aliyetembelea banda la GCLA katiak maonesho ya 45 ya Biashara Kimataifa yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkemia wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA),Elizabeth Medza   akimhudumia Mteja aliyetembelea banda la GCLA katika maonesho ya 45 ya Biashara Kimataifa yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkemia  wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) Huruma Mwakisyala akimhudumia Mteja aliyetembelea banda la GCLA katiak maonesho ya 45 ya Biashara Kimataifa yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkemia  wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) Huruma Mwakisyala akimhudumia Mteja aliyetembelea banda la GCLA katika maonesho ya 45 ya Biashara Kimataifa yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini