Wanariadha Wawili Watolewa Kushiriki Mashindano ya Olimpiki Wanawake Kisa Homoni Nyingi za Kiume | ZamotoHabari.


Wanariadha wa Namibia, Christine Mboma na Beatrice Masilingi wameondolewa katika mashindani ya mbio za Olimpiki za wanawake kutokana na kuwa na homoni nyingi za kiume .

Wanariadha hao wamezaliwa wanawake na wanajinsia ya kike kwa kuzaliwa lakini wanahomoni za kiume kitu ambacho kitaalamu ni kitu cha kawaida mtu kuwa na "differences of sex development" .

Wanariadha hao walikuwa wanataka kushindana katika mbio za Mita 400 .

Je, kwa Maoni yako unadhani maamuzi Haya ni sahihi ?



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini