Ally Mayai Tembele Amshukia Chama Sakata la Mo Dewji na Haji Manara "Ulitakiwa Kusoma Alama za Ntakati" | ZamotoHabari.


Nguli wa Zamani wa Soka na Mchambuzi Mahiri wa Maswala ya Mpira wa Miguu , Ally Mayai Tembele, amesema kwamba Mchezaji @realclatouschama alitakiwa asome alama za nyakati kabla ya kuongea aliyoyaongea kupitia Instagram Live (Kumsifia Haji Manara )siku Moja iliyopita .

Ally Mayai anadai kuwa tayari kulikua na Kutoelewana baina ya Manara na Mo Dewji, hivyo Chama kama Mchezaji hakutakiwa kuongelea swala hilo kwa kupindi hiki ambacho bado kuna Vuguvugu .

Je, unakubaliana nae Katika hili ?

 Read More: Nafasi za Ajira Serikalini na Mashiriki Binafsi Nimekuwekea Hapa  



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini