Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty Jumatano limesema kwamba mamlaka za Tanzania lazima zitoe mara moja ushahidi wa kuthibitisha mashtaka dhidi ya kiongozi wa upinzani Freeman Mbowe, au wamwachilie huru, ikiwa siku moja tu kabla ya kufikishwa kwenye mahakama ya Dar es Salaam.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments