Beka Flavour ajibu ishu ya kuibiwa mpenzi Wake na Patrick Kanumba | ZamotoHabari.

 


Msanii Beka Flavour amefunguka stori za kuibiwa mpenzi wake Happy Reuter na msanii wa filamu Patrick Kanumba kwa kusema stori hiyo haijamuumiza na ameona ni vitu vya kawaida.

Akifunguka hilo kupitia EATV & EA Radio Digital Beka Flavour anasema stori hizo ni za uzushi ujinga na hana mpango nazo.

"Hizo nimezichukulia poa tu hazijawahi kuniumiza, nimeona ni vitu vya kawaida sana hivyo vitu vipo na kila siku vinatokea, kuhusu story za baby mama wangu tuziache kwa sasa" amesema Beka Flavour

Kwenye mahusiano yao wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume aitwaye Aaryan Beka flavour.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini