Breaking News: CEO wa ASAS Afariki Dunia | ZamotoHabari.



Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Makampuni ya ASAS, Alhaj Faraj Ahmed Abri, amefariki dunia hii leo Agosti 13, 2021 Jijini Dar es Salaam, na familia yake imeomba waombolezaji wasiende nyumbani na atazikwa hii leo katika Makaburi ya Kisutu.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini