Idris Sultan Mtanzania pekee Ambaye Ametokea Kwenye Orodha ya Mastaa wa Dunia Ambao Wametengeneza Pesa Ndefu Kupitia Mtandao wa instagram | ZamotoHabari.


Mchekeshaji @idrissultan ndiye Mtanzania pekee ambaye ametokea kwenye orodha ya mastaa wa dunia ambao wametengeneza pesa ndefu kupitia mtandao wa instagram mwaka 2021 (Instagram Rich List), kwa mujibu wa tovuti ya #HopperHQ.

Idris Sultan mwenye jumla ya wafuasi 7M yupo kwenye nafasi ya 108, akitajwa kutoza kiasi cha ($42,800) TZS. Milioni 99.2 Ku-post Tangazo la Biashara.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini