Idris Sultan "Watu Wangu wa Karibu Walifurahi Movie ya Slay Kutolewa Mtandaoni" | ZamotoHabari.


Kama ulihisi Mwigizaji @idrissultan aliumia sana filamu ya Slay kutolewa Netflix kwa madai ya haki miliki basi jua haipo hivyo.

Idriss Sultan amekiri ilikuwa ni aibu lakini pia kila jambo linatokea kwasababu na hii ilisaidia kuwajua maadui zake ni akina nani na wengi ni watu wa karibu yake.

Walikuwa wakikosoa na kumzodoa kuwa waone sasa atatambia wapi.

Slay ilitolewa kwenye mtandao wa Netflix April 26 kwa madai ya haki miliki baada ya kutumia soundtrack ambapo hakukuwa na makubaliano baina ya pande zote mbili.




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini