Manara "Naomba Serikali Inilinde Nani Amempa MO Mamlaka ya Kudukua Simu yangu" | ZamotoHabari.


“Kwenye hili la kudukuliwa simu yangu naomba serikali inilinde, ni nani amempa mamlaka Mohammed Dewji ya kudukua simu yangu, ubaya sio mimi tuu niliyedukuliwa niliona majina ya wanasimba wengi wanaodukuliwa.

“Waliniita ofisini nikaenda wakaniambia jana ulionekana umeenda kigamboni Kwa Ghalibu kutuhujumu, walinionyesha simu inayoonyesha kuwa nilikuwa Kigamboni lakini nilipoangalia tarehe ilinionyesha ilikuwa tarehe 7 muone jinsi hawa watu walivyokuwa wananichukia,” @hajismanara



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini