Ali Kiba hajanunua followers. Not at all. Wanaonunuaga followers, huwa unawajua kupitia Trending, Likes and comments. Kwa mfano zile video za Harmonize na wasanii wake comments , likes na trending zilikuwa hazina ushirikiano na number of views.
Comments na Likes kwenye video ya Kiba zinaendana na views.
Jana wakati video ya Kiba iko trending number 11 alafu views zipo juu nilipata wasiwasi kidogo ila nikajiuliza how come comments anazo nyingii kushinda Dai alafu trending bado haijapanda. Nikafikiria vizuri nikapata jibu, Video ya Kiba ilipanda views fasta ila trending ilichukua time kufika number 2 in Tanzania sababu video ile ilikuwa inaangaliwa sana na wanaigeria, kutokana na jamaa aliefanya nae ft kuipromote nyimbo.
Ukiangalia aliefanya ft na Kiba ni ana followers kibao, So views za Kiba nyinyi ni from Nigeria.
Kwa kifupi hajanunua views. Ameshinda fair and square. Na Kiba alivyo na dharau sio wa kufanya huo ujinga wa kununua views. Hanaga hata shobo na YouTube kama wasanii wengine.
Anyways, I still think haya mambo ya YouTube ni upumbavu ndo maana hata nilikalia kimya. Sijui hata why wasanii wa Tz wako obsessed na views za YouTube🤦🏽♀️
Update
Pia fatilieni media za Kenya. Zina promote sana huu wimbo. So wakenya pia wamejaza views humo.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments