MoseIyobo Ataboa Siri Kusah Kuvaa NGUO zake Alizoziacha Kwa Aunty Ezekiel..Aibu Kubwa | ZamotoHabari.



MoseIyobo Ataboa Siri. Ameandika;-

‘’Unge vua kwanza nguo zangu alafu ukaendelea na mambo yako. Inamaana hawajakwambia kama hiyo ni nguo yangu. Ndio mana nilisema I'm bigger than you.wewe ni kama jaden kwangu.kuanzia leo sito kujibu chochote maana bado ujaanza kujitegemea.chakufanya mimi kama baba yako nitakuombea show kwa zuchu.mungu bariki kizazi changu.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 ikifika saa sita nafuta hii post sio vizuri baba kumsema mtoto hadharani.#miminibabayako’’



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini