Rais Samia awasili Jijini Dodoma akitokea Dar es salaam | ZamotoHabari.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kusaili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe  08 Agosti,2021 akitokea Jijini Dar es Salaam.IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe  08 Agosti,2021 wakati akitokea Jijini Dar es Salaam alikofanya Shughuli mbalimbali za Kitaifa .

 



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini