Rais Samia Suluhu Hassan, akutana na kuzungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani | ZamotoHabari.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia mambo ya Siasa Mhe. Balozi Victoria Nuland, wakati Balozi Nuland alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 04, 2021.  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia mambo ya Siasa Mhe. Balozi Victoria Nuland, wakati Balozi Nuland alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 04, 2021.  




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia mambo ya Siasa Mhe. Balozi Victoria Nuland, wakati Balozi Nuland alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 04, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia mambo ya Siasa Mhe. Balozi Victoria Nuland, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 04, 2021. IKULU.
 


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini