Majogoo watawika mbele ya Chelsea?
Wikiendi ya kibabe inakuletea soka bomba kutoka ligi mbali mbali ulimwenguni. Mida ya ya kuchakata majamvi ya ushindi inaanza mapema kabisa, na Meridianbet wao wamekuhakikishia Odds kubwa mapema kabisa na machaguo lukuki.
Wikiendi hii Chelsea anavaana uso kwa uso na majogoo wa Uingereza Liverpool kwenye fainali ya Carabao Cup. Pande zote zinajizatiti kuhakikisha haziondoki njaa kwenye gemu hii.
Swali ni je, majogoo watakubali kunyewa supu na Blues au watawika kuiangusha miamba ya Blues?
Liverpool wamekuwa kwenye fomu nzuri zaidi msimu huu. Wakiwa hawajapoteza hata gemu moja mfululizo katika gemu zao 10 zilizopita, huku akiwa ametoa sare moja pekee.
Chelsea yeye amepoteza gemu moja na kutoa sare gemu moja katika gemu zake 10 zilizopita. Wataalamu wanamtazama Liverpool kuwa kwenye nafasi kubwa zaidi ya kushinda akiwa na odds ya 2.25 kutoka Meridianbet.
Meridianbet wanamtazama Chelsea kuwa anahitaji kufanya kazi ya ziada kuondoka na ushindi, akiwa amepewa odds ya 3.09 kushinda na odds 3.09 kutoa sare.
Ukiacha machaguo ya kawaida, unaweza kuangalia upande wa magoli. Wawili hawa mchezo wao wa mwisho ulimalizika 2-2 pale Stamford Bridge. Liverpool aliongoza kwa magoli mawili ya awali kabla ya Chelsea kupindua Meza.
Meridianbet hapa wamekupa uwanja mpana wa kuchagua idadi ya magoli, kuanzia nani atafunga goli, dakika ya ngapi goli litapatikana, na magoli mangapi yapatikane kipindi cha kwanza au kipindi cha pili na mechi nzima.
Ukiacha Chelsea, gemu kibao zinaendelea EPL. Man United atavaana na Watford, Everton akichuiana vikali na Man City na Leeds akikutana na Spurs Jumamosi. West Ham atakutana na Wolves Wanderers Andaa jamvi lako mapema hapoa!
Unakumbushwa kubashiri kistaarabu, na kufahamu jinsi ya kujiunga na Meridianbet soma zaidi HAPA.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments