Mtoto huyu yupo zanzibar mitaa ya forodhani jana aliokota pochi ya rafiki yangu ina vitambulisho vyote na laki tatu na tickets za boat mbili lakini alipogundua ni sisi tulipoteza aliturudishia na vitu vyote vipo hakujapungua kitu na tulipojaribu kumpa hela ya Asante alikataa alijibu kuwa siyo haki yake ila anaomba anunuliwe chakula tu .#Nimejifunzakitu
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments