MECHI ZA USHINDI KWENYE MERIDIANBET WIKI HII | ZamotoHabari

 

NI muendelezo wa Ligi mbalimbali wikiendi hii, kwenye Epl Chelsea watarudi uwanjani kukipiga na Wolves siku ya Jumamosi kwenye dimba la Stamford Bridge, Chelsea wamekuwa na matokea mazuri kwenye mechi zao za nyuma, atakutana na Wolves aliyeshinda mechi moja tu kwenye Ligi. Weka utabiri wako na Meridianbet

Jini la kufunga mabao litakuwa uwanjani tena safari hii ni Man City dhidi ya Southampton, pale Ettihad wenyewe wanapaita machinjioni, Halaand ataendeleza rekodi yake ya kufunga au Soton watavunja mwiko? Meridianbet wameweka Odds kubwa kuwahi kutokea, Bashiri na Mabingwa.

Kule Bundesliga sasa, ni De Klassiker yaani watakutana wababe wa Ligi hiyo Dortumund watakuwa nyumbani kukipiga na Bayern Munich, unaambiwa hivi pindi wanapokutana hawa jamaa nyasi huwaka moto. Kuna mzigo mkubwa kwaajili yako, tandika jamvi lako.

Leverkusen atashuka dimbani kukiwasha na Schalke04, huku Mainz watawakaribisha Leipzig, na mechi nyingine ni kati ya Bochum watakipiga na Frankfurt.

Kwa Serie A ni mechi kubwa AC Milan aliyepo nafasi ya tano kwenye msimamo atakuwa nyumbani kutafuta ushindi dhidi ya Juventus waliopo nafasi ya 7, hii ni moja ya mechi yenye Odds Kubwa Meridianbet.

Kwingineo ni PSG atakuwa ugenini kucheza na Reims huku Real Madrid atawafuata Getafe na Sevilla atakuwa mwenyeji wa Athletic Club. Mechi hizi ni za Ushindi kama utabashiri na Meridianbet.

Jumapili moto ni ule ule kuna mechi inaweza kukupa utajiri kama utabashiri na Mabingwa, Vijana wa Arteta watakutana na Vijana wa Klopp, ni Arsenal dhidi ya Liverpool kwenye dimba la Emirates. Weka mkeka wako ushinde.

Manchester United baada ya kupigwa bao 6-3 na mahasimu wao Man City, watakuwa ugenini tena kuangalia namna ya kuzisaka pointi tatu dhidi ya Everton. Nawe unaweza kuzisaka pesa kirahisi ukiwa na Meridianbet.

Wikiendi yako itakamilika kwa michezo kati ya Crystal Palace na Leeds United, West Ham na Fulham, Napoli atakuwa ugenini kukipiga na Cremonese, na kubwa zaidi utamshuhudia Lewandowski na Barca yake kwenye dimba la Camp Nou dhidi ya Celta. Kamilisha wikiendi yako kwa kubashiri na Mabingwa, Tazama Odds za Michezo yote hapa.

NB, mbali na ubashiri wa Michezo una nafasi ya kushinda zaidi kwenye michezo ya kasino, furahia michezo ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, kujiweka kwenye nafasi bora ya kushinda kasino jackpoti.

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini