MWINJUMA AKONGA MASHABIKI TAMASHA LA BONGO FLAVOR HONORS | ZamotoHabari

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma Mei 26, 2023  katika Ukumbi wa Alliance Francaise Jijini Dar es Salaam ameshiriki Tamasha la Muziki la  Bongo Flavor Honors lenye lengo la kutoa heshima kwa wakongwe wa muziki huo.

Mhe. Mwinjuma ameungana na wasanii wa muziki huo akiwemo Msanii JayMoe  kutoa burudani kwa mashabiki waliokuepo.

Wasanii wengine walitoa burudani ni Msanii Sugu, Mchizi Mox, Dully Sykes na wengine.




Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini