WAFANYAKAZI WA BARRICK NORTH MARA WALIVYOSHIRIKI MBIO ZA CAPITAL CITY MARATHON | ZamotoHabari


Naibu Spika,Mh. Azzan Zungu (katikati) akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa mgodi wa Barrick North Mara walioshiriki mbio za City Marathon
Mmoja wa wafanyakazi wa Barrick North Mara akikimbia
Baadhi ya wafanyakazi wa mgodi wa Barrick North Mara walioshiriki mbio za City Marathon katika picha ya pamoja ya kumaliza kukimbia
Baadhi ya wafanyakazi wa mgodi wa Barrick North Mara katika picha ya pamoja baada ya kumaliza kukimbia mbio za City Marathon, jijini Dodoma
Baadhi ya wafanyakazi wa mgodi wa Barrick North Mara, walioshiriki mbio za City Marathon wakifurahi pamoja baada ya kumaliza kukimbia.

**

Wafanyakazi wa Mgodi wa Barrick North Mara, uliopo wilayani Tarime, wameshiriki katika mbio za Capital city Marathon zilizofanyika Mkoani Dodoma ambapo wamemudu kukimbia mbio za masafa marefu.

Kampuni ya Barrick nchini imekuwa na program za mazoezi kwa ajili ya kuhakikisha wafanyakazi wake wanakuwa na nguvu na afya bora.


Kila mwaka kampuni imekuwa ikiwezesha wafanyakazi wake kushiriki mashindano mbalimbali ya michezo ikiwemo mashindano ya mbio za kilomita 42 ya Bulyanhulu Healthy Lifestyle Marathon yanayofanyika kila mwaka.




Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini